Some of the volunteers of Sifa Group foundation posing for a picture with the childrens. They do help the childrens materialy like beds etc. as well as with skills like teaching language, health studies etc.
Swahili
Baadhi ya watu wanaojitolea kwa ajili ya Sifa Group Foundation wakiketi kwa ajili ya picha pamoja na watoto. Huwa wanawasaidia kwa vitu kama vitanda nk. pia katika ujuzi ikiwamo kuwafundisha lugha, masomo ya afya nk.
English
Some of the Sifa Group Faundation childrens in a photo. By total they are hundred and sixteen (116) in number. The foundation provides them with education, food, clothing, shelter as well as health services.
Swahili
Baadhi ya watoto wa Sifa Group Foundation katika picha ya pamoja. Kwa ujumla wapo watoto mia moja na kumi na sita (116). Sifa Group Foundation inawahudumia kwa elimu, chakula, mavazi, malazi na pia huduma za afya.
EnglishChidrens waiting for gifts after studies
Swahili
Watoto wakisubiri zawadi baada ya masomo
English
Clothing gift from TCRS institute for the Sifa Group Foundation.
Swahili
Zawadi za nguo kutoka taasisi ya TCRS kwa Sifa Group Foundation.
English
Children receiving cloth gifts from Sifa Group Foundation director Sifa John.
Swahili
Watoto wakipokea zawadi za nguo kutoka kwa mkurugenzi wa Sifa Group Foundation Sifa John.English
Childrens full of joy holding their given gifts.
Swahili
Watoto wakiwa na furaha huku wamebeba zawadi walizopewa.
English
Not only childrens, Sifa Group Foundation also deals with widows. As you can see the photo above some of the widows also received some cloth gifts.
Swahili
Siyo watoto tu, Sifa Group Foundation pia inajishughulisha na wajane. Kama ilivyo katika picha juu, baadhi ya wajane pia walipokea zawadi za nguo.
English
Some of volunteers posing for a picture with the director the day they presented beds and matresses for the foundation childrens.
Swahili
Baadhi ya watu wanaojitolea wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa kituo siku walipokabidhi vitanda na magodoro kwa ajili ya watoto wa kituo.
May God bless you all whom are helping Children
ReplyDeleteMungu Awabariki sana kwa kujitolea kuwasaidia Watoto Mayatima.
ReplyDeleteTunaweza kupata namba zinazopatikana?
ReplyDeleteNicheki kwa namba hizi na haraka sana
ReplyDelete0763819541
ReplyDelete